Mwanamasumbwi wa kitanzania atwangwa urusi raundi ya tatu
Mwanamasumbwi Iddi Mkwera siku ya Jumamosi ya Novemba 10 2018 haikuwa siku nzuri kwa upande wake baada ya kupoteza pambano lake lisilokuwa la Ubingwa usito wa Kilo 66 Welter Weight lilochezwa nchini Urusi. Iddi Mkera alitoka Tanzania na promota Jay Msangi kwenda kucheza pambano hilo amepoteza pambano raundi ya tatu dhidi ya Bondia Makhmud …