NASRI KUJIUNGA NA WEST HAM UNITED
Mchezaji wa zamani wa Arsenal aliyewahi kuichezea Manchester City kwa miaka sita Samir Nasri anatarajia kufanya vipimo vya afya katika klabu ya West Ham United ya nchini Uingereza kwa ajili ya kujiunga na timu hiyo. Samir Nasri anatajwa kuwa atajiunga na timu ya West Ham United kwa kipindi hiki akikaribia kumaliza adhabu yake ya kufungiwa …