Benjamin Mendy arudi tena kitandani
Beki wa kushoto wa klabu ya Man City Benjamin Mendy amefanyiwa upasuaji katika goti lake la kushoto, lakini haijawekwa wazi ni muda gani atakuwa nje ya uwanja. Mfaransa huyo alicheza dakika zote 90 katika mechi ya jumapili ambayo City waliibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya Manchester United na jumatatu akaripoti katika kambi ya timu …