Uefa Nations League imefanikiwa kuliko tulivyotarajia “ – Rais wa UEFA Aleksander Ceferin.
Rais wa shirikisho la soka barani Ulaya UEFA Aleksander Caferin amesema michuano mipya ya barani humo UEFA Nations League imeleta mafanikio makubwa tofauti na walivyotarajia hapo awali. Michuano hiyo ilitengenezwa kwa ajili ya kuondoa mechi za kirafiki zisizokuwa na maana, mwanzoni ilikosolewa na watu wakidai kuwa michuano hiyo haina maana yoyote ile na haileweki. England, …