Fainali ya Superclasico yaahirishwa kwa vurugu
Mechi ya marudiano ya fainali ya Copa Libertadores inayowakutanisha mahasimu wawili River Plate na Boca Junior iliyokuwa ichezwe usiku wa jana jumamosi iliahirishwa kutokana na basi lililokuwa limebeba kikosi cha Boca Junior kupigwa na mashabiki wa River Plate na kusababisha kuumia kwa wachezaji Chupa zilirushwa na wenyeji River Plate, na kuvunja vioo vya basi la …