Simba SC kutoa taarifa rasmi leo muda ataokaa nje Kapombe
Beki wa wekundu wa Msimbazi Simba Shomari Kapombe bado yupo Cape Town Afrika Kusini akiendelea kupatiwa matibabu ya mguu wake ambao ulivunjika akiwa katika majukumu ya timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars kuelekea mchezo dhidi ya Lesotho. Klabu ya Simba SC kupitia kwa afisa habari wao Haji Manara wametoa taarifa za awali kuhusiana na …