Hemed Morocco asajili wachezaji wanne wa kimataifa kwa mpigo
Baada ya klabu ya Singida United kuwapoteza wachezaji wake kadhaa wakiwemo Miraji Adam aliyejiunga na Coastal Union ya Tanga jana na Salum Chuku aliyejiunga na KMC ya Kinondoni jana, leo uongozi wa klabu hiyo umetangaza kufanya usajili wa kuimarisha timu yao. Singida United inayofundishwa na kocha wao Hemed Morocco imeripotiwa kuwasajili wachezaji wanne kwa …