Wambura arejea TFF
Baada ya miezi tisa kupita toka kamati ya maadili itangaze kumfungia maisha kujihusisha na soka kwa aliyekuwa makamu wa Rais wa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) ndugu Michael Richard Wambura, leo ameibuka na mapya kuhusiana na uamuzi huo. Wambura akiambatana na mwanasheria wake Emmanuel Muga leo amewasilisha hati ya Mahakama Kuu ya …