Fainali ya Copa Libertadores imepelekwa Ulaya, Mashabiki waifuata
Klabu ya Boca Junior imewasili Hispania katika jiji la Madrid kwa ajili ya kucheza mchezo wao wa marudiano wa fainali ya Copa Libertadores dhidi ya River Plate ambapo mchezo huo unaambiwa kuwa utachezwa katika uwanja wa Real Madrid ujilikanao kama Santiago Bernabeu kukiwa na maafisa usalama zaidi ya 2500. Mchezo wa River Plate dhidi …