LIGI YA MABINGWA IMEMRUDISHA ULIMWENGU NYUMBANI.
Baada ya shirikisho la mpira wa miguu Afrika CAF kupanga makundi ya mashandano ya klabu Bingwa Afrika kwa msimu wa 2018/19 na kujikuta wawakilishi pekee wa Afrika Mashariki Simba SC wakiangukia Kundi D. Inawezekana hufahamu kuwa hiyo itakuwa ni fursa kwa mchezaji wa kitanzania kurudi kucheza nyumbani akiwa na jezi ya klabu ya nje, Thomas …