NIGERIA IMEMPA OFA YA MKATABA MPYA KOCHA KWA MASHARTI
Shirikisho la mpira wa miguu nchini Nigeria (NFF) limetoa masharti mazito kwa kocha wake mkuu Gernot Rohr kuwa ipo tayari kumpa mkataba mpya kwa masharti. NFF limempa ofa Rohr raia wa Ujerumani ya kuendelea kuifundisha timu ya taifa ya Nigeria “Super Eagles” ila kwa masharti makuu mawili juu ya makazi yake na mshahara wake. Rais …