BURNLEY WAHOFIA KUFILISIKA
Mwenyekiti wa klabu ya Burnley Mike Garlick amesema timu yao itakuwa imefilisika kufiki mwezi wa nane kama msimu huu wa EPL hautakamilika na msimu ujao kuchelewa kuanza. Garlick anasema watapoteza kiasi cha Pauni milioni 50 (Tsh Bilioni 141.9) kama msimu huu hautomalizika— na kuwaonya vilabu vingine kuwa watapoteza zaidi ya Pauni milioni 100. “Ukweli ni …