MIKEL ARTETA AKUTWA NA VIRUSI VYA CORONA
Kocha wa klabu ya Arsenal Mikel Arteta akutwa na maambukizi ya virusi vya Corona na wale wote ambao wamekuwa karibu nae wakiwamo kikosi cha kwanza,watajitenga ili kufuata muongozo wa serikali. Kufuatia kocha huyo kukutwa na maambukizi hayo,sasa inawezekana ligi kuu nchini England kusimamishwa kwa sababu kujilinda na maambukizi ya virusi hivyo. Uongozi wa ligi kuu …