NDAIRAGIJE ASHINDWA KUTAJA SABABU ZA MKUDE KUTOWASILI TAIFA STARS
Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania maarufu kama Taifa Stars anayejulikana kwa jina la Etienne Ndairagije rai wa Burundi leo amepata wakati mgumu kidogo kutoa ufafanuzi kuhusu Jonas Mkude. Etienne alikuwa uwanja wa Taifa akiendelea na mazoezi na wachezaji waliopo kambini kujiandaa na fainali za CHAN 2020 zinazotarajia kufanyika nchini Cameron mwezi April. Swali …