CHILUNDA WA AZAM FC AUAGA UKAPELA
Nyota wa Azam FC Shabani Chilunda ameuaga ukapela baada ya kuripotiwa mapema wiki hii kufunga ndoa na mpenzi wake Bi Shammy, hii ni kwa mujibu wa ukurasa wa Azam FC.