RONADO NA MENDES WATOA BILIONI 2.7 KUSAIDIA MAPAMBANO YA CORONA
Staa wa soka Cristiano Ronaldo na wakala wake Jorge Mendes wametoa msaada wenye thamani ya Pauni milioni 1 (Tsh Bilioni 2.7) katika hospitali nchini Ureno ili kusaidia mapambano dhidi ya virusi vya Corona Wawili hao wamekuwa wakifanya mawasiliano na Hospitali hizo ambapo wamepanga kusaidia vifaa katika wodi mbili za Hospitali ya Santa Maria iliyopo Lisbon …