CORONA KUKATA MSHAHARA WA MESSI NA WENZAKE
Kwa mujibu wa ripoti za nchini Hispania, baadhi ya nyota wa klabu ya Barcelona wapo tayari kukatwa mishahara yao katika kipindi hiki cha virusi vya Corona ambapo ligi imesimama. Ripoti hizo zinasema Rais wa Barcelona Josep Maria Bartomeu amefanya mazungumzo na Lionel Messi,Sergio Busquets,Jordi Alba na Sergi Roberto kuhusu kupunguzwa mishahara yao na kikao hicho …