MORRISON AMWAGA WINO YANGA, SIMBA NDIO BASI TENA
Mshambuliaji wa Yanga SC Bernald Morrison leo amethitishwa rasmi kusaini mkataba moya wa miak miwili wa kuendelea kuitumikia Yanga SC.
Morrison aliyewasili Yanga SC katika kipindi cha dirisha dogo la January inadaiwa kuwa alipewa mkataba wa muda mfupi Yanga ili waweze kujiridhisha na uwezo wake kwa sababu alikuwa hana timu.
Yanga inadaiwa kuwa wamefanya haraka kukamilisha zoezi hilo kutokana na majirani zao Simba kudaiwa kuanza harakati za chini kwa chini kuhakikisha Mghana huyo anahamia Msimbazi.