RAIS WA TFF KASEMA HAWATOPOKELEA VPL WACHEZAJI WALIOREJEA NCHINI KWAO
Rais wa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia amevipa onyo vilabu vya Ligi Kuu kuw huu sio wakati wa likizo kiasi cha kuwaruhusu wachezaji wao wa kimataifa warejee katika mataifa yao. Karia ameeleza kupitia Azam TV kuwa Ligi imesimama kwa tahadhari ya virusi vya corona, hivyo wachezaji waliorejea kwenye nchi zao na …