FRENCH OPEN YASOGEZWA MBELE
Michuano ya mchezo wa tenis ya French Open imesogezwa mbele kutokana na janga la kidunia la mlipuko wa virusi vya corona.
French Open iliyokuwa ichezwe Mei 2020 sasa imesogezwa mbele hadi Septemba 20 2020, Taarifa hiyo inatoka ikiwa ni chini ya wiki moja kabla ya fainali ya US Open kuchezwa.