BANDA ATHIBITISHA KUHUSU CORONA
Beki wa kati wa klabu ya Highlands Park ya nchini Afrika Kusini Abdi Banda amekanusha taarifa za kupata maambukizi ya virusi vya corona (COVID-19). Taarifa hizo Banda ametoa kupitia ukurasa wake wa instagram ikiwa ni siku moja imepita toka zisambae taarifa za kuwa anaugua corona. “Napenda kutoa shukrani zangu kwa wote mlioguswa/shtushwa na habari juu …