LIGI KUU TANZANIA BARA YASIMAMA KWA SABABU YA CORONA
Serikali ya Tanzania kupitia Waziri Mkuu Kassim Majaliwa imetangaza kusimamisha Ligi Kuu Tanzania Bara,Ligi Daraja la Kwanza na la Pili,UMITASHUMTA na UMISETA na ile ya Mashirika ya Umma kwa muda wa mwezi mmoja kutokana na kujilinda na virusi vya Corona. Virusi vya Corona ambavyo vimekuwa vikisambaa nchini mpaka nchi, vimetangazwa kuingia nchini Tanzania baada ya …