DERBY YA SIMBA NA YANGA YAANDIKA HISTORIA SERIKALINI
Serikali ya Tanzania kupitia kwa msemaji mkuu wa serikali Dr Hassan Abbas ametangaza kuwa mchezo wa Simba na Yanga uliyochezwa Machi 8 uwanja wa Taifa kuingiza mapato makubwa kwa serikali ambayo haijawahi kutokea. “Mchezo wa Simba na Yanga uliochezwa Machi 8, 2020 umeweka rekodi ya mapato kwa kuingiza shillingi Milioni 545.4 kwa timu na mapato …