BODI YA LIGI YATANGAZA ADHABU VPL
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha Machi 10, 2020 ilipitia mwenendo na matukio mbalimbali ya Ligi na kufanya uamuzi ufuatao; Mechi namba 253: Mwadui FC 2 v Police Tanzania FC 1 Kocha Msaidizi wa Police Tanzania, Ally Mtuli anapelekwa Kamati ya Nidhamu ya …