March 20, 2020 / BasketBall CORONA YASIMAMISHA MSIMU WA NBA Msimu huu wa NBA umesimamisha kwa ajili ya kujilinda na maambukizi ya virusi vya Corona. Maamuzi hayo yametolewa baada ya mchezaji wa Utah Jazz,Rudy Goberty kukutwa na maambukizi ya virusi hivyo