SERIKALI ITALIA YARUHUSU SERIE A KUENDELEA
Serikali ya Italia imeripotiwa kuwa imeamua michezo ya Ligi Kuu ya Italia (Serie.A) iendelee kama kawada, ila bila mashabiki kuruhusiwa kuingia uwanjani kwa hofu ya ugonjwa wa corona unaweza kuenea kwa haraka zaidi, zoezi hilo litaisha ,April 30 kwani ndio watakuwa na majibu mapya.