MAN CITY WAITOA ETIHAD KWA NHS KAMA WATAHITAJI
Klabu ya Manchester City ya jijini Manchester England limetangaza rasmi kujitolea kwa shirika la afya nchini humo (NHS). Man City ambaye pamoja na mahasimu wenzao Man United wiki kadhaa nyuma walichangia pesa kwa ajili ya kuikimbiza corona. Nchi za Ulaya pia hospitali zimejaa sana ila leo Man City imetangaza kuutoa uwanja wake wa Etihad kwa …