YANGA YAPATA ALAMA TATU, MOLINGA ANG’ARA
David Molinga ndio ndio shujaa wa Yanga leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kufuatia kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar. Yanga wamepata ushindi huo kwa bao pekee llilofungwa na David Molinga dakika ya 50 baada ya kupokea pasi safi ya upendo …