AZAM NA KMC WANYAKUA TUNZO ZA VPL
Mshambuliaji wa KMC Sadallah Lipangile ameshinda tuzo ya mchezaji Bora wa mwezi Januari wa VPL akiwashinda Nicholas Wadada wa Azam FC na Hassan Dilunga wa Simba waliokuwepo katika kinyang’anyiro hicho katika mwezi Januari, Sadallah Lipangile alifanikiwa kufunga magoli manne, magoli mawili akifunga katika ushindi wa 2-0 wa ugenini dhidi ya Singida United na mengine mawili …