PEP GUARDIOLA AMUONYA RAIS WA BARCA KUFURAHIA KUFUNGIWA KWAO
Kocha wa Manchester City Pep Guardiola amemjibu Rais wa klabu ya Barcelona Jose Maria Bartomeu ambaye amelipongeza shirikisho la soka la Ulaya UEFA kwa adhabu ya kuifungia Man City kufuatia kuvunja sheria ya matumizi ya fedha “Financial Fair Play” Bartomeu aliwapongeza UEFA Jumanne ya wiki hii kwa kutoa adhabu hiyo ambapo Man City wamefungiwa kushiriki …