CORONA YASIMAMISHA LIGI YA ITALIA
Mechi nne za Serie A ziliahirishwa jana Februari 23 kwa hofu ya mlipuko wa Corona Virus nchini Italia ambapo watu wawili walioathirika na virusi hivvyo wamefariki dunia nchini humo. Kwa agizo la serikali ya Italia, mechi hizo zilizoahirishwa ni Atalanta vs Sassuolo, Hellas Verona vs Cagliari,Torino vs Parma na Inter Milan vs Sampdoria. Mechi hizo …