MAN CITY WAJIBU KUHUSU KUFUNGIWA NA UEFA,WAAHIDI KUPINDUA MEZA
Afisa Mtendaji Mkuu wa Manchester City Ferran Soriano amesema kuwa tuhuma za UEFA kuhusu timu yao si za kweli na watahakikisha wanathibitisha hilo kabla ya majira ya kiangazi mwaka huu na kifungo chao kuondolewa. Ijumaa iliyopita, Manchester City ilitangazwa kufungiwa kushiriki michuano ya Ulaya kwa misimu miwili na UEFA kwa kosa la kuvunja sheria ya …