SHABIKI WA CHRISTIANO RONALDO, MDUKUZI AMBAYE AMEWAPELEKEA KIFUNGONI MAN CITY
Rui Pinto ndio jina ambalo klabu ya Manchester City wanalichukia zaidi kwa sasa. Kwa nini? , kwa sababu huyu ndiye mbaya wao. Rui Pinto ni mdukuzi (hacker) ambaye alidukua mfumo wa emails za klabu mbalimbali barani Ulaya na kupeleka habari kutoka kwenye email hizo kuzichapisha katika jarida la Ujerumani Der Spiegel Baada ya kuchapishwa ndipo …