HAJI MNOGA ATAMANI KUICHEZEA TANZANIA
Baba mzazi wa mchezaji wa klabu ya Portsmouth ya England Haji Mnoga, Mzee Mnoga ameeleza kuwa mwanae Haji anatamani kuitwa kucheza timu za taifa za vijana za Tanzania kabla ya kufikia maamuzi ya kuchagua kucheza timu ya taifa ya wakubwa. Haji Mnoga kwa sasa ana uraia wa nchi mbili England na Tanzania kutokana na kuwa …