WAZIRI ASEMA CORONA HAIWEZI KUZUIA MICHUANO YA OLIMPIKI JAPAN
Waziri wa Olympiki Japan, Seiko Hashimoto amesema hakuna mipango ya kughairisha michuano ya Olimpiki inayotaraji kufanyika nchini Japan kuanzia mwezi Julai mwaka huu kutokana na uwepo wa virusi vya Corona ambavyo vimesababisha vifo 361 nchini China mpaka sasa. Mwanamama huyo,55, ambaye zamani alikuwa akicheza Speed Skating na mbio za baiskeli, amesisitiza kuwa waandazi hawana mpango …