KWA NINI TYSON FURY ALIVAA BENDERA YA NIGERIA MDOMONI?
Bondia Muingereza Tyson Fury alivaa ‘Mouth Shield’ yenye rangi za bendera ya Nigeria katika pambano lake aliloshinda dhidi ya Deontay Wilder Februari 23 Las Vegas. Hii imepelekea baadhi ya watu kutafsiri kuwa Fury alikuwa anapeleka ujumbe wa kutaka pambano dhidi ya Anthony Joshua ambaye ana asili ya Nigeria. Joshua katika bega lake la kulia amechora …