BADO NIPO CITY, LABDA WANIFUKUZE – GUARDIOLA
Baada ya kufanikiwa kushinda ubingwa wa EPL misimu miwili mfululizo huku msimu huu wakioneka kuelekea maliza katika nafasi ya pili chini ya vinara Liverpool wanaoongoza ligi kwa tofauti ya point 14, bosi huyo wa Manchester City amedai kuwa ataendelea baki klabuni hapo msimu ujao labda kama wakimfukuza. Hii ni baada ya uvumi kuwa kocha huyu …