MUGURUZA ATINGA FAINALI AKIMTOA SIMONA HALEP
Mhispania Gabrine Muguruza amefanikiwa ingia fainali ya Australian Open baada ya kumtoa Mromania Simona Halep aliyepo katika nafasi ya nne kwa jumla ya seti 7-6 (10-8) 7-5. Hii ni fainali ya kwanza kwa bingwa huyu wa Grand Slam mara mbili tokea alipochukua taji la Wimbledon mwaka 2017. Muguruza sasa atakutana na Mmarekani Sofia Kenin aliyemtoa …