DOMINIC THIEM AMTUPA NJE RAFAEL NADAL AUSTRALIAN OPEN
Mchezaji namba moja kwa ubora duniani Rafael Nadal ameshindwa songa mbele nusu fainali ya Australia Open baada ya Mhispania Dominic Thiem, 26, aliyepo katika nafasi ya 5 kufanikiwa mfunga kwa jumla ya seti 7-6 (7-3) 7-6 (7-4) 4-6 7-6 (8-6) Mhispania huyu sasa atakutana na Mjerumani Alexander Zverev siku ya Ijumaa katika nusu fainali itakayokuwa …