ANTONY JOSHUA ATAFUTA PAMBANO JIJIN KINSHASA NCHINI CONGO
Promota Eddie Hearn amethibitisha kuwa na vikao vitakavyopelekea bondia Antony Joshua kupigana pambano katika uwanja maarufu uliohodhi pambano la nguli Mohamed Ali jijini Kinshasa nchini Congo miaka ya nyuma katika pambano lililopewa jina la ‘Rumble in the Jungle’ na bondia Muhammad Ali alimpiga kwa Knock Out George Foreman na kufanikiwa shinda ubingwa wa dunia wa …