FEDERER APONEA KIPIGO AUSTRALIAN OPEN
Nyota wa tenisi Roger Federer, 38, ameponea kipigo toka kwa M-australia John Millman mchezaji amabaye hayupo kwenye viwango vya ubora. Ni katika mechi iliyochezwa kwa saa 4 na dakika 3 ikivutia mashabiki zaidi ya 15,000 waligawana washabikia wachezaji hawa katika uwanja wa Rod Laver Arena. Akiwa nyuma kwa 8 – 4 katika ‘tie-break’ ya kuamua …