IFAHAMU TIMU YA WANANCHI ILIYOCHEZA NA REAL MADRID
Klabu ya Real Madrid imefanikiwa ingia hatua ya 16 bora katika michuano ya Copa Del Rey baada ushindi wa goli 3 – 1 dhidi ya Unionistas de Salamanca. Unionistas ni klabu inayomilikiwa na mashabiki wa soka takribani 2,800 ambao wote hulipa ada na wote wana nguvu sawa katika klabu hiyo yani demokrasia. Mechi hiyo ilichezwa katika …