MTANZANIA AWASILI FC NANTES UFARANSA
Kinda wa Azam FC U-20 na timu ya taifa ya vijana ya Tanzania Ngorongoro Heroes Tepsi Evans amewasili salama Ufaransa katika klabu ya FC Nantes kwa ajili ya kupata mafunzo ya soka.
Kinda wa Azam FC U-20 na timu ya taifa ya vijana ya Tanzania Ngorongoro Heroes Tepsi Evans amewasili salama Ufaransa katika klabu ya FC Nantes kwa ajili ya kupata mafunzo ya soka.
Klabu ya Yanga SC ikiwa chini ya kocha wake Luc Eymael leo imefanikiwa kupata ushindi wake wa kwanza chini ya kocha huyo wakiwa Singida. Wakiwa wageni wa Singida United leo Yanga wamepata alama tatu muhimu kufuatia ushindi wa magoli 3-1 waliyoyapata na hatimae Luc Eymael kuonja utamu wa ushindi kwa mara ya kwanza. David Molinga …
Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi (TPLB) Steven Mguto ametangaza kufungiwa mechi tatu na faini ya Tsh laki tatu kwa wachezaji wa Yanga, Ramadhani Kabwili, Mrisho Ngassa, Cleofas Sospeter na Mbeya City Kelvin John na Majaliwa Shaban, waliokuwa wanategeana kutoka uwanjani hadi Polisi walipolazimika kuingia uwanjani na kuwatoa. Kitendo ambacho kinatafsirika kama kugoma kuingia katika vyumba …
Chelsea wakiwa nyumbani dhidi ya Arsenal, hii ilikuwa ni mechi ya 200 kwa timu hizi kukitana katika mashindano yote. Chelsea waliingia katika mchezo huu wakiwa hawajapoteza mchezo wowote wa nyumbani katika mechi 7 zilizopita huku Arsenal wakiingia na rekodi ya kutokuwa na ushindi katika mechi 7 zilizopita za ligi katika uwanja wa Stanford Bridge (D1, …