BARCELONA KWENDA VISIWA VYA RAHA VYA IBIZA
Kikijulikana kama kisiwa cha mapumziko, watu mashuhuri na klabu za usiku, klabu ya Barcelona itakuwa katika kisiwa hiki Jumatano hii. Tofauti na mapumziko, muziki na kufurahia maisha, Barcelona watakuwa kisiwan hapo kwa ajili ya kucheza mechi yao ya mzunguko wa 32 katika kombe la Copa del Rey dhidi ya klabu ya UD Ibiza. Hii ni …