MZEE KUKAA NYUMBANI KUNABOA – GUARDIOLA
Akiwa anasherekea kutimiza umri wa miaka 49 siku ya leo, Kocha Pep Guardiola atakuwa uwanjani dhidi ya Roy Hudgoson mwenye miaka 72 ikiwa ni tofauti ya miaka 23 kati yao. Guardiola alikuwa na umri wa miaka 5 kipindi Hudgoson anachukua kibarua chake cha kwanza nchini Sweeden katika klabu ya Halmstad. Akiulizwa maoni yake kuhusu kufundisha …