SUAREZ ATAJA GOLI LAKE
Mshambuliaji wa Barcelona Luis Suarez amelitaja goli lake alilofunga dhidi ya Mallorca juzi jumamosi ndio goli lake bora kuwahi kufunga katika maisha yake ya soka. Suarez alifunga goli hilo Barcelona wakiondoka na ushindi wa goli 5-2, huku bingwa mara sita wa Ballon d’Or Lionel Messi akiweka rekodi ya kufunga hat trick 35 katika LaLiga, na …