SABABU YA REAL MADRID KUVAA JEZI ZA KIJANI NYUMBANI
Huenda ukastaajabu kuona Real Madrid wakiwa wamevaa jezi za kijani katika mechi yao ya nyumbani dhidi ya Espanyol kesho Jumamosi Santiago Bernabeu Real Madrid watavaa jezi hizo kwa ishara ya kuunga mkono Mkutano wa umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya hali ya hewa ambao unafanyika jijini Madrid tangu Disemba 2 mpaka Disemba 16,2019 Hii itakuwa …