CLUB BRUGE YAMPIGA ADHABU MBAYE DIAGNE KWA KUKOSA PENATI DHIDI YA PSG
Msenegali Mbaye Diagne amepigwa faini na kuondoshwa katika kikosi cha Club Bruge ya Ubelgiji kwa kosa la kukosa penati katika mechi ya Klabu Bingwa Ulaya dhidi ya PSG katika mechi iliyoisha kwa kupoteza 1 – 0 Jumatano iliyopita nchini Ufaransa Akitokea benchi Diagne alifanyiwa madhambi yaliyosababisha penati na akachukua maamuzi ya kuipiga yeye mwenyewe, penati …