UNAI AMVUA XHAKA UNAHODHA ARSENAL
Baada ya mgogoro wa Graint Xhaka na mashabiki katika mechi ya sare ya 2 – 2 dhidi ya Crystal Palace, kocha Unai Emery ametangaza kumvua unahodha mchezaji huyo. “Nilikuwa na kikao nae na nikamueleza hatokuwa tena Nahodha, alikubali na alielewa. Nilihitaji kufanya maamuzi na sasa hilo limeisha.” Alisema kocha Unai Emery. Nafasi hiyo ya Unahodha …