ARSENAL NA MAN UNITED ZAENDELEA FANYA VIBAYA EPL
Ligi kuu ya England imeendelea weekend hii huku mbio kati ya Liverpool na Man City zikionekana kutokupoa baada ya timu zote mbili kujinasua toka kwenye kipigo na kuchukua pointi zote 3 dakika za mwisho. Manchester City dhidi ya Southampton walitoka nyuma dakika ya 70 kwa goli la Sergio Aguero na lile la Kyle Walker dakika …